Madaktari Wazuri Wa Watoto Tanzania:Kwa Majina Yao Na Hospital Wanazofanyia Kazi!

Kuna madaktari wengi wa watoto Tanzania. Inapotokea mtoto kaumwa kila mzazi anategemea mwanae apate daktari anaetibu vizuri !Nilijaribu kufanya utafiti mdogo kwa wamama wengi  zaidi ya elf kumi kupitia mtandaoni (facebook,instagram na twitter) kwa kuwauliza madaktari wanatoa huduma nzuri kwa watoto na walinipa majibu ya majina ya madaktari yalio jirudia na kuonyesha ,ni madaktari wanaojulikana kwa wazazi wengi kutokana na uzoefu wao na ufanisi bora wa kazi zao.

 

Daktari mzuri anatakiwa kuwa na sifa za kutibu mtoto kwa kutafuta tatizo sio kukimbilia kumwandikia madawa , kumuuliza mzazi juu ya ugonjwa wa mtoto, mabadiliko yake tangu aanze kuumwa yapoje? na hata jinsi ya kucare mtoto ni muhimu sana kwa daktari ,ukali haufai anatakiwa kuwa rafiki wa mtoto .

 

Maradhi ni mengi sana wanayosumbua watoto ni muhimu mzazi kuuliza kiundani shida ya mtoto , kujua nini mtoto hapaswi kufanyiwa au kula ,mfano mtoto mwenye allergy au eczema ni ngumu sana kuwacare vizuri kujua na kufatisha maelezo yote muhimu unayopewa.

List ya madaktari,mikoa na hospital wanazofanyia kazi !

Madaktari ni wengi sana Tanzania ila hawa ni baadhi yao ambao wanatibu watoto vizuri,

 

1:Dr Anthony -anapatikana Kinondoni Dispensary  karibu na Open University

2:Dr Mrema Muhimbili hospital

3.Dr.Majaliwa -Muhimbili hospital

4.Dr Mariam AICC hospital Arusha

5.Dr. Catherine -Serian Hospital Arusha

6.Dr. Hassanal -Kariakoo mtaa wa Mtendeni

7.Dr.Runy -Total Care Arusha

8.Dr Mariam Mount Meru hospital

9.Dr Gerald -Mwalon Clinic ipo Magomeni

10.Dr Kisenge -Sanitas hospital ipo Baraka Plaza Mikocheni /

11.Dr.Kisenge anapatikana pia Muhimbili Hospital

12.Dr.Hameer -anapatikana mtaa wa Swahili pale Fire

14.Dr. Massawe -Kinondoni Morocco karibu na ghorofa la Airtel

15.Dr. Anath yupo karibu na ubalozi wa Ufaransa (Dar)

16.Dr.Jenifer anapatikana Muhimbili au  Micco hospital Tegeta

17.Dr.Salvatory -Kairuki Hospital

18.Dr.Mbwanji- Mbeya anapatikana mata wa Soweto

19.Dr Mariam -Agakhan Hospital

20.Dr.Kisasa – Dodoma

21.Dr.Festo -Mwanza Bugando

22.Dr.Waziri -Tanga

23.Dr.Rahim -Regency Hospital (Dar)

24.Dr.Mganyizi -Kigoma Maweni

25.Dr.Ali Amour -anapatikana Zanzibar Kilimani

26.Dr.Mollel -Babati hospital Manyara

27.Dr. Kigosi -Kigoma hospital ya rufaa

28.Dr.Rawia -Moshi Anapatikana karibu na kanisa la Lurtheran.(Moshi)

29.Dr.Tumain -Anapatikana Tumain hospital

30.Dr. Mchovu -Tanga Mjini

31.Dr.Rune KCMC / Hope clinic Moshi