Kunywa Maji Kabla Ya Kifungua Kinywa Asubuhi -Yanatibu Maradhi Mengi.

Kiafya binadamu utunatakiwa kunywa glasi 7-8 kwa siku ni muhimu kwa afya zetu. Watu wengi hawajui kama kunywa maji asubuhi pale uamkapo ni kinga moja kubwa mwilini.

Tiba hii huu unaitwa Ayurvedic treatment ina faida nyingi ya kukuepusha na maradhi.

Sehemu kubwa ya mwili wa mwanadamu ni  maji  kwa asilimia 70% ambayo ndio inasaidia mwili Wake ufanye kazi kifasaha, wakati cell ya ubongo wa binadamu una maji kwa asilimia 85%, damu inakiasi cha maji kwa asilimia 82%, muscles inatumia maji asilimia 75% wakati mifupa inamaji asilimia 25%. Mpaka hapo inaonyesha maji ni muhimu sana kwa mwili wa binadamu .

Umuhimu wa kunywa maji asubuhi kabla ujaingiza chochote tumboni

Unatakiwa kunywa maji pale uamkapo ukiwa ujakula chochote hii itakusaidia kusafisha mfumo wako wa mmeng’enyo (internal system) kwa urahisi. Itatoa uchafu  na sumu kwenye Colon ulizokula siku iliyooita kupitia  vyakula tofauti tofauti. Faida nyinginezo ni

 • Kungarisha ngozi.
 • Renew cells.
 • Kusafishwa kwa colon na kufanya unyonywaji wa virutubisho kuwa rahisi.
 • Inatibu magongwa na maradhi . Unywaji wa maji asubuhi pale uamkapo inakusaidia kutibu maradhi kama matatizo ya ini, TB, kuhara, cancer, matatizo ya macho, maumivu ya kichwa, stress, na uti wa mgongo.
 • Hupunguza uzito.

Kunywa maji pale uamkapo liters 1.5 ( glas 5-6),epuka kunywa kinywaji kingine chochote au kula kabla na baada ya kunywa maji, usinywe pombe baada ya siku 2 ndio uendele na kunywa maji yako kila asubuhi. Mwanzo itakuwa ngumu sana kunywa glas 6 kwa pamoja unachotakiwa kunywa 4 pumzika kidogo kunywa izo 2 zilizobakia. Utafanya hivyo baada ya siku 3 utombo utaozoea na utakunywa kwa urahisi.

Hii water therapy ilizinduliwa na wajapan baada ya kuifanyia utafiti wa mda mrefu na kubaini inatibu maradhi  mengi iwapo mgonjwa atafatisha sheria zake kama

 • Uamkapo kunywa maji moja kwa moja bila kupiga mswaki au kula chochote.
 • Piga mswaki na usile chochote sababu yale maji yanahitaji kutoa uchafu kabla ujaweka chakula au  kinywa tumboni.
 • Bada ya dakika 45 unaweza kunywa breakfast.
 • Baada ya breakfast usile kitu chochote baada ya masaa 2.

       Kipimo Cha Maji Kulingana Na Maradhi.

 • Constipation-wenye matatizo haya watafata hii kinga ya maji  kwa siku 10
 • TB- siku 90
 • Kisukari siku 30
 • Gastric – kuwa na gesi nyingi tumboni -siku 10
 • Pressure (high blood pressure) siku 30.

Unatakiwa kunywa maji kwa wingi haswa wale wanaoishi sehemu za joto. Epuka kuwa dehydrated kwani utakaribisha maradhi kwa urahisi.