Njia Za Kumwandaa Mtoto Kuwa Na Upeo Mkubwa(Akili)

Watoto ni wepesi kushika vitu na ni waelewe sana ,wanakuwa kulingana na malezi wanayopewa na wazazi. Wazazi wengi wanaamini mtoto huanza kufunzwa akiwa miaka 3-4 hapana tunakosea sana wenzetu nchi zilizo endelea wanaanza funza watoto... Read more »

Muda Sahihi Wa Kufanya Mazoezi Kwa Mama Alitoka Kujingua Kwa Upasuaji,Njia Ya Kawaida

Mazoezi ni muhimu kwa afya  ni vizuri mama akafanya baada ya kujifungua itamsaidia mwili wake kurudi  na kuwa na nguvu kwa haraka,kupunguza uzito wa uzazi.Ila mama anatakiwa kuzingiatia hali ya afya  yake ,asifanye... Read more »

Umri Wa Mtoto Kutambaa

Watoto wanaanza kutambaa wakiwa na miezi 6-10 na kutembea wakiwa na miezi 8 -18, watoto huwa wanatofautiana kwenye stage za ukuaji wengine wanawahi wengine wanachelewa. Wazazi wengi wanakuwa wanasubiri kwa shauku  kubwa  Kuona watoto wanapoanza kutambaa bila  kujua  hatari zake... Read more »
cute african american child drinking milk from bottle on bed

Sababu Zinazo Mfanya Mtoto Akatae Kunyonya

Maziwa ya mama ni muhimu sana kwa mtoto, yanampa lishe na afya nzuri Maziwa ya mama  yana virutubisho, calories na vimiminika vya kutosha. Faida Ya Maziwa Ya Mama Huwongezea uzito kwa haraka.... Read more »

Muda Upi Ni Sahihi Kwa Mama Alietoka Kujifunga Kufanya Tendo La Ndoa.

Mama alietoka kujifungua anahitaji kujipa mda ili aweze kushiriki tena tendo la ndoa. Hiii ni kwa sababu kuna uwezekano mkubwa wa kujitonesha kidonda au kufumuka kwa nyuzi kwa wale walio jifungua kwa... Read more »
Anapenda Kubebwa Mda Wote

Maandalizi Ya Mama Mjamzito Kwa Ajili Ya Mtoto

Maandalizi ya mama mjamzito kwa ajili ya mtoto ni muhimu kabla hajajifungua na baada ya kujifungua. Mama anaweza kuanza fanya shopping baada ya kufanyiwa Ultra sound kujua jinsia ya mtoto, ili kuepuka... Read more »