Upungufu Wa Amniotic Fluid,Chanzo Chake,Madhara Na Matibabu Yake.

Aminiotic fluid  ni maji yanayopatikana tumboni mwa  mama mjamzito ,yanamzunguka mtoto kwenye hatua zake zote za ukuaji.Amniotic fluid ni muhimu sana kwa sababu yanasimamia ukuaji wa mtoto haswa kwenye misuli(muscles) miguu,mikono,mapafu na mfumo wa kusaga... Read more »

Upungufu Wa Maji Mwilini Kwa Mtoto Mchanga(Infant Dehydration)

Upungufu wa  maji mwilini kwa watoto wachanga unaweza kutokea wakati wowote.Upungufu wa maji unaweza kusababishwa na mambo mbalimbali kama vile;  joto kali , mtoto kutonyonyeshwa baada ya muda mrefu  saa 2-4, matatizo ya kiafya pia huchangia mtoto kupoteza maji mwilini... Read more »

Vifo Vya Gafla Kwa Watoto Wachanga: Sudden Infant Death Syndrome (Sids)

Vifo vya gafla kwa watoto wachanga imekuwa  ni ngumu kwa wazazi kujua nini ni chanzo chake.Kwenye jamii zetu za kiafrika watu wengi huusisha vifo vya watoto na  mambo ya ushirikina pale mtoto anapofariki bila kuumwa... Read more »

Kukoroma Kwa Mtoto Akiwa Amelala

kuna sababu  tofauti zinazompelekea mtoto kukoroma kipindi akiwa amelala ,zinaweza kuwa tatizo la kiafya au mabadiliko ya mwili. Mzazi anaweza kujua upumuaji na ukoromaji wa mtoto sio wa kawaida kwa kumfatilia kiumakini. Tatizo la... Read more »

Dalili Za Uchungu! (Labor Sign)

Mama anapofikisha  miezi mitatu ya mwisho wiki 37-40(third trimester) anaanza kuwaza dalili za uchungu zipoje ,atazijuaje n.k .Dalili za kwenda labor zipo nyingi na kila mama zinamjia kiutofauti ,kuna umuhimu wa mama kuzijua.Uchungu huwa unakuja... Read more »

Mtoto Kutokucheza Tumboni Sababu Zinazopelekea

  Mama mjamzito huwa anaskia raha pale mtoto anapoanza kumpiga piga tumboni kwa mara ya kwanza. kucheza kwa mtoto kunafanya kuwa na mawasiliano mazuri kati ya mama na mtoto .Kwa wenye mimba ya... Read more »

Homa Ya Manjano Kwa Watoto Wachanga:Baada Ya Kuzaliwa

Homa ya manjano ni ugonjwa  unawashika watoto wachanga baada ya masaa machache  kuzaliwa .Manjano kawaida huonyesha rangi ya manjano kwenye macho ,paji la uso,nyayo za miguu,kifuani na tumboni ,ukimkagua mtoto vizuri haswa kwenye... Read more »

Madaktari Wazuri Wa Watoto Tanzania:Kwa Majina Yao Na Hospital Wanazofanyia Kazi!

Kuna madaktari wengi wa watoto Tanzania. Inapotokea mtoto kaumwa kila mzazi anategemea mwanae apate daktari anaetibu vizuri !Nilijaribu kufanya utafiti mdogo kwa wamama wengi  zaidi ya elf kumi kupitia mtandaoni (facebook,instagram na... Read more »

Dawa Zisizotakiwa Kutumia Mtoto Na Hatari Zake

Mtoto anapopewa dawa ni muhimu kujua inaanza kutumika kwa kuanzia umri gani ? Kawasabu kuna baadhi ya dawa haziruhusiwi watoto kutumia .Dawa za kifua hairuhusiwi kwa watoto walio chini ya miaka 2.... Read more »

Mimba Miezi 9 Wiki 36-40

Mimba miezi 9 mama anakuwa kesha choka na kuelemewa na uzito ila safari inakaribia kufika ukingoni.Tumbo la mama lishashuka na kichwa cha mtoto kimegeuka chini tayari kutoka. Mama mjamzito anaweza kujifungua wiki... Read more »