Mama Baada Ya Kujifungua

Baada ya mama kujifungua mtoto kuna mambo mengi yanakuwa yanabadilika kwenye maisha yake ukilinganisha na zamani. Mfumo wa maisha yako unabadilika kwa kiasi kikubwa mfano muda wa kulala na kuamka, ulaji wako... Read more »
MTOTO Hataki kulala

Mtoto Hataki Kulala

Tatizo la mtoto kuamka usiku  wa manane na kukataa kurudi kulala huwa ni jambo la kawaida na hapa ndio wazazi wengi huwa wanapata stresss sana kwenye hili swala. Yaani unakuta mtoto akiamka... Read more »
kulea mtoto ukiwa single parent

Jinsi ya kulea mtoto ukiwa Peke Yako (Single Parent)

Kabla ya kuwa na mtoto watu wengi huwa na picha ya kuwa na familia ni ya wazazi wawili. Ila katika hali ya kiuhalisia mambo huwa ni tofauti na unakuta mtu anabakia kuwa... Read more »

Je Mwili Wako Utarudi Kuwa Kawaida Na Kuvaa Nguo Ambazo Ulikua Unavaa Kabla Ya Ujauzito?

Sisi akina mama huwa tuna nguo zetu zileee ambazo yaani ukiwa na ujauzito unakuta nguo uliyokuwa unaipenda haikutoshi hata baada ya kujifungua bado unakua unawaza je itakua bado inakutosha au ndio kwaheri... Read more »

Mabadiliko ya Mwili Baada Ya Kujifungua.

Kama ulikua hujui basi taarifa ni kwamba mama mjamzito akishajifungua huwa kuna baadhi ya mabadiliko mwilini ambayo huwa yanatokea. Kuna ambayo huwa ni mazuri na mengine, unaweza usiyapende. So nimekuwekea list ya... Read more »

Je Maziwa Yataacha Kutoka Kama Haunyonyeshi Mtoto Baada ya Kujifungua?

Kuna baadhi ya akina mama ambao wao hawapendi kunyonyesha watoto wao kwa sababu zao wanazozijua wenyewe japokuwa inashauriwa MIEZI SITA ya mwanzoni unashauriwa umnyonyeshe mtoto wako kama kweli unampenda kabisa. Ila Sasa... Read more »

Mtoto Ameanguka Toka Kitandani Je Nini Cha Kufanya

Hivi umeshawahi kuwa ndani unafanya mambo yako  gafla ukasikia PUU! hata kabla sekunde haijaisha unasikia mtoto anatoa kilio cha HATARI sanaa?? Yaani hapo nahisi utakua ushajua nini kimetokea   Kama mtoto wako... Read more »

The Baby And The Relationship With The Brothers

In general, the arrival of a new baby at home is highly anticipated and celebrated by the other children(siblings). When the baby grows older siblings have fun playing with him, which in... Read more »

U.T.I Kipindi Cha Ujauzito(URINARY TRACK INFECTIONS)

Urinary Tract Infection (U.T.I) ni ugonjwa unaowasumbua wanawake wajawazito mara kwa mara. Ugonjwa huu hushambulia kutokana na mazingira tofauti.Haswa maeneo yenye hali ya hewa ya joto inawaadhiri zaidi. U.T.I NI NINI Ni... Read more »

Saratani Ya Shingo Ya Kizazi (CERVICAL CANCER)

Saratani ya shingo ya kizazi (cervical cancer) ni ugonjwa unaowapata wanawake. Seli inaleta mabadiliko ya mfumo wa chembechembe zilizopo kwenye mfumo wa shingo ya kizazi kushamiri ,kukuwa , kuzaliana kwa kasi na kuharibu mpangiliano wa... Read more »