Sababu Zinazowapelekea Watoto Wanalia? Mzazi Unahitaji Kujua Haya

 Watoto wachanga ni kawaida kulia mara kwa mara ila mzazi lazima ujiulize kwa nini mtoto analia? Lazima kutakuwa kunasababu ya kulia kama zifuatavyo Ananjaa Diaper au nepi imejaa. Anausingizi. Anasikia joto Kali... Read more »

Ugonjwa Wa Sikio Unasababishwa Na Nini Na Tiba Yake Ni ipi?

 Infection ya masikio ni tatizo kubwa kwa watoto, sikio limejigawa sehemu kuu 3 ya ndani , nje na kati.  Matatizo mara nyingi yana shambulia sehemu ya kati (Otitis media) inashambulia watoto wachanga na... Read more »
cute african american child drinking milk from bottle on bed

Sababu Zinazo Mfanya Mtoto Akatae Kunyonya

Maziwa ya mama ni muhimu sana kwa mtoto, yanampa lishe na afya nzuri Maziwa ya mama  yana virutubisho, calories na vimiminika vya kutosha. Faida Ya Maziwa Ya Mama Huwongezea uzito kwa haraka.... Read more »

Chango Kwa Watoto Wachanga (Colic)

Watoto wachanga wanasumbuliwa na chango(colic) wanapokuwa na umri wa wiki 2 baada ya kuzaliwa ndipo wanapata chango. Chango ni maamivu makali ya tumbo anayopata mtoto na kulia mara kwa mara ikiwa usiku... Read more »

Chanjo Kwa Watoto

Chanjo zinasaidia kumtengenezea mtoto kinga mwilini kupingana na maradhi. Chanjo hizo zinaendana na umri baada ya mtoto kuzaliwa afikishapo ️Miezi 2,️ Miezi 4,️ Miezi 6, ️Miezi 12,️ Miezi 18 . Atakapofika miaka... Read more »

Chakula Cha Mtoto Kuanzia Miezi Sita

️️ Watoto wanapofikisha ️miezi sita ndipo wanapoanza kula chakula kigumu. Leo tutamwandalia mtoto chakula chepesi na kinasaidia kupata choo kwa urahisi! Mchanganyiko wa boga,viazi na karoti baada ya kukatakata Muda wa kupika... Read more »