Maziwa Ya Ng’ombe Kwa Mtoto

Wakina mama wengi huwa wanaanza kwanza kumnyonyesha mtoto kitu ambacho ni sahihi kabisa maana unashauriwa miezi…

Umri Wa Mtoto Kutambaa

Kutambaa huwa ni njia ya kwanza kwa mtoto kuzunguka na kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine.…

Maswali 7 Ya Kujiuliza Kuhusu Mtoto Kwenye Week Yake ya Kwanza

Kupata mtoto na kumleta nyumbani huwa inaleta furaha katika familia hasa kwa mama na baba. Sasa…

Mara Ngapi Mtoto Anatakiwa kupata Haja Ndogo

Kina mama wengi huwa wanauliza hili swali ni mara ngapi mtoto anapata haja ndogo, na hii…

Ni Mda Gani Mzuri Mtoto Kulalia Tumbo?

Ili kupunguza vifo vya mtoto mchanga wataalamu wanashauri kwamba mtoto mchanga unatakiwa kumlaza kimgongo mgongo kwa…

Mtoto Ameanguka Toka Kitandani Je Nini Cha Kufanya

Hivi umeshawahi kuwa ndani unafanya mambo yako  gafla ukasikia PUU! hata kabla sekunde haijaisha unasikia mtoto…

Upungufu Wa Maji Mwilini Kwa Mtoto Mchanga(Infant Dehydration)

Upungufu wa  maji mwilini kwa watoto wachanga unaweza kutokea wakati wowote.Upungufu wa maji unaweza kusababishwa na mambo mbalimbali kama vile;  joto…

Vifo Vya Gafla Kwa Watoto Wachanga: Sudden Infant Death Syndrome (Sids)

Vifo vya gafla kwa watoto wachanga imekuwa  ni ngumu kwa wazazi kujua nini ni chanzo chake.Kwenye jamii zetu…

Homa Ya Manjano Kwa Watoto Wachanga:Baada Ya Kuzaliwa

Homa ya manjano ni ugonjwa  unawashika watoto wachanga baada ya masaa machache  kuzaliwa .Manjano kawaida huonyesha rangi…

Madaktari Wazuri Wa Watoto Tanzania:Kwa Majina Yao Na Hospital Wanazofanyia Kazi!

Kuna madaktari wengi wa watoto Tanzania. Inapotokea mtoto kaumwa kila mzazi anategemea mwanae apate daktari anaetibu…