Chanjo Kwa Watoto

Chanjo zinasaidia kumtengenezea mtoto kinga mwilini kupingana na maradhi. Chanjo hizo zinaendana na umri baada ya mtoto kuzaliwa afikishapo ️Miezi 2,️ Miezi 4,️ Miezi 6, ️Miezi 12,️ Miezi 18 . Atakapofika miaka... Read more »