Utandu Mweupe Kinywani Mwa Mtoto(Thrush In Babies)

Utandu mweupe(oral thrush) unakuwa kama maziwa kwenye kinywa cha mtoto ni infection inasababishwa na fungus wanaoitwa candida albicans. Utandu(thrush) huo unamwadhiri mtoto sehemu ya ulimi ,kuta za mashavu kwa ndani na ufizi... Read more »

Karanga Ni Sumu Kwa Mtoto:Kuchanganya Karanga Kwenye Nafaka(Unga Wa Lishe) Ni Sumu Hatari

Matumizi ya karanga kwa uji wa mtoto ni vizuri sababu inamwongezea virutubisho ,mafuta na kumsaidia kulainisha choo ila karanga haitakiwi kukaa kwa mda mrefu baada ya kusagwa. Karanga inatabia ya kutengeneza fangasi... Read more »

Usafi Wa Chupa Za Watoto :Jinsi Ya Kuzisafisha

Matumizi ya chupa za chuchu za mpira (bottle feeding) kwa matumizi ya watoto ni nzuri  zinarahisisha mtoto kunywa kwa urahisi ila ni hatari kwa afya ya mtoto,iwapo mzazi hatozingatia usafi basi mtoto... Read more »

Eczema Kwa Watoto:Ukavu Wa Ngozi,Kuwashwa Ngozi ,Dalili Yake Na Matibabu

Eczema(atopic dermatitis) ni ugonjwa wa ngozi ,unaofanya ngozi kuwasha sana kuwa kavu na kupata vijipele vidogo vidogo vyenye rangi nyekundu,huu ugonjwa ushambulia watoto na  wakubwa sehemu za viungo vya mwili (joints) mkononi... Read more »

Mafunzo Ya Kutumia Poti Kwa Mtoto(Potty Training)

Mtoto anavyozidi kukua  mama anapata maswali mengi ya malezi ,kama hili la kumfunza mtoto kutumia potty.Mzazi anajiuliza umri gani ni sahihi kuanza mfunza mtoto, wengi wanaanza funza mtoto akiwa na miezi (miezi 6-18) ila... Read more »

Njia Za Kumwandaa Mtoto Kuwa Na Upeo Mkubwa(Akili)

Watoto ni wepesi kushika vitu na ni waelewe sana ,wanakuwa kulingana na malezi wanayopewa na wazazi. Wazazi wengi wanaamini mtoto huanza kufunzwa akiwa miaka 3-4 hapana tunakosea sana wenzetu nchi zilizo endelea wanaanza funza watoto... Read more »

Ugonjwa Wa Sikio Unasababishwa Na Nini Na Tiba Yake Ni ipi?

 Infection ya masikio ni tatizo kubwa kwa watoto, sikio limejigawa sehemu kuu 3 ya ndani , nje na kati.  Matatizo mara nyingi yana shambulia sehemu ya kati (Otitis media) inashambulia watoto wachanga na... Read more »

Smoothie Ya Ndizi Na Maziwa Kwa Afya Bora Ya Mtoto

Smoothie ya ndizi na maziwa inavirubisho vingi vizuri mwilini kama protein, fiber, vitamini, madini ya chuma,nk. Huongeza uzito  inakupa nguvu na kulainisha ngozi ya mwili, kujenga mifupa iwe imara na faida nyinginezo nyingi. Mahitaji Ndizi... Read more »

Uji Wa Mchele Kwa Watoto Kuanzia Miezi Sita

Uji ni lishe nzuri kwa watoto waliofikisha miezi sita na kuendelea! Mzazi unatakiwa umpikie uji wa aina tofauti ili asikinai mapema, sababu utakapo mpa uji wa aina moja lazima atauchoka na kuukataa!... Read more »

Minyoo Kwa Watoto

Tatizo la minyoo huwapata watoto na watu wazima.Kwa watoto chini ya miaka 5 wanasumbuliwa sana na minyoo,  hatari kubwa ya kupata minyoo kwa watoto walio chini ya mwaka mmoja ni  pale wanapoanza... Read more »