Umri Wa Kumpeleka Mtoto Day Care

Read more »
Mtoto Akilia Baba Anapomgusa

Tips Zitakazokusaidia kama Mtoto Akilia Baba Anapomgusa.

Tuseme ukweli hii hali ya mtoto akilia baba anapomgusa huwa inaleta utata hasa pale mwanzoni.  Mtoto akizaliwa huwa anatumia mda mwingi sana na mama yake. Hii huwa ni kawaida kwa sababu ndio... Read more »

Mtoto Wangu Anapenda Kubebwa Mda Wote. Kwa nini?

Je mtoto wako anapenda kubebwa mda wote?…well hauko peke yako maana hawa  watoto wetu  wakiwa bado ni wadogo sema kweli huwa wana mambo sana iwe wa kike au wa kiume. Kuna hii... Read more »

Kwa Nini Unatakiwa Kumyonyesha Mtoto Miezi Sita ya Mwanzo.

Kuna njia ya hakika: ukamuaji na uhifadhi wa maziwa ya mama (expressed breast milk). Mama anaenyonyesha anaweza kukamua maziwa yake na kuyatunza vizuri kwa ajili ya mtoto wake wakati yeye anapokuwa kazini.... Read more »

Lini Unaweza kurudi Kazini Baada ya Kujifungua

  Kwa kawaida kuanzia week sita baada ya kujifungua ndio mda ambao huwa ni kawaida unaweza kurudi kazini. Kuna baadhi ya wanawake wanaweza kujisikia kuwa wanahitaji kurudi kazini mapema sana baada ya... Read more »

Teach Your Child To Love Reading

The way of reading begins already at infant age, when the children develope a love for words, joy in stories and the wonder of sharing life’s experiences with others using words. The... Read more »

Kukoroma Kwa Mtoto Akiwa Amelala

kuna sababu  tofauti zinazompelekea mtoto kukoroma kipindi akiwa amelala ,zinaweza kuwa tatizo la kiafya au mabadiliko ya mwili. Mzazi anaweza kujua upumuaji na ukoromaji wa mtoto sio wa kawaida kwa kumfatilia kiumakini. Tatizo la... Read more »

Madaktari Wazuri Wa Watoto Tanzania:Kwa Majina Yao Na Hospital Wanazofanyia Kazi!

Kuna madaktari wengi wa watoto Tanzania. Inapotokea mtoto kaumwa kila mzazi anategemea mwanae apate daktari anaetibu vizuri !Nilijaribu kufanya utafiti mdogo kwa wamama wengi  zaidi ya elf kumi kupitia mtandaoni (facebook,instagram na... Read more »

Dawa Zisizotakiwa Kutumia Mtoto Na Hatari Zake

Mtoto anapopewa dawa ni muhimu kujua inaanza kutumika kwa kuanzia umri gani ? Kawasabu kuna baadhi ya dawa haziruhusiwi watoto kutumia .Dawa za kifua hairuhusiwi kwa watoto walio chini ya miaka 2.... Read more »

Ratiba Ya Chakula Cha Watoto Mwaka 1-18

  Mtoto anahitaji kuwa na ratiba ya mlo wake wa wiki nzima itamsaidia kula lishe sahihi yenye mkusanyiko wa virutubisho vingi kwa pamoja.Kumbuka kwa mtoto wa kuanzia miaka 2-3  anaweza ongea jaribu... Read more »