Teach Your Child To Love Reading

The way of reading begins already at infant age, when the children develope a love for words, joy in stories and the wonder of sharing life’s experiences with others using words. The... Read more »

The Baby And The Relationship With The Brothers

In general, the arrival of a new baby at home is highly anticipated and celebrated by the other children(siblings). When the baby grows older siblings have fun playing with him, which in... Read more »

Vifo Vya Gafla Kwa Watoto Wachanga: Sudden Infant Death Syndrome (Sids)

Vifo vya gafla kwa watoto wachanga imekuwa  ni ngumu kwa wazazi kujua nini ni chanzo chake.Kwenye jamii zetu za kiafrika watu wengi huusisha vifo vya watoto na  mambo ya ushirikina pale mtoto anapofariki bila kuumwa... Read more »

Usafi Wa Chupa Za Watoto :Jinsi Ya Kuzisafisha

Matumizi ya chupa za chuchu za mpira (bottle feeding) kwa matumizi ya watoto ni nzuri  zinarahisisha mtoto kunywa kwa urahisi ila ni hatari kwa afya ya mtoto,iwapo mzazi hatozingatia usafi basi mtoto... Read more »

Juice Ya Karoti Na Machungwa Kwa Watoto Kuanzia Miezi 7

Juice ni muhimu kwa watoto zinawapa vitamins mwilini, nivizuri ukampa zile fresh ambazo unatengeneza mwenye nyumbani bila kuwekwa chemicals,juice za madukani anaweza kunywa ila isiwe mara kwa mara.     Mahitaji Karoti 2-3 Machungwa... Read more »

Umri Wa Mtoto Kutambaa

Watoto wanaanza kutambaa wakiwa na miezi 6-10 na kutembea wakiwa na miezi 8 -18, watoto huwa wanatofautiana kwenye stage za ukuaji wengine wanawahi wengine wanachelewa. Wazazi wengi wanakuwa wanasubiri kwa shauku  kubwa  Kuona watoto wanapoanza kutambaa bila  kujua  hatari zake... Read more »

Uji Wa Mchele Kwa Watoto Kuanzia Miezi Sita

Uji ni lishe nzuri kwa watoto waliofikisha miezi sita na kuendelea! Mzazi unatakiwa umpikie uji wa aina tofauti ili asikinai mapema, sababu utakapo mpa uji wa aina moja lazima atauchoka na kuukataa!... Read more »

Minyoo Kwa Watoto

Tatizo la minyoo huwapata watoto na watu wazima.Kwa watoto chini ya miaka 5 wanasumbuliwa sana na minyoo,  hatari kubwa ya kupata minyoo kwa watoto walio chini ya mwaka mmoja ni  pale wanapoanza... Read more »