Mimba Miezi Mitano:Ukuaji Wa Mtoto Upoje,Mabadiliko Kwa Mama…

Mimba miezi mitano (wiki 20) unakuwa unashajua jinsia ya mtoto ,kama mama utakuwa ushafanya kipimo cha ultra sound.Mama anakuwa kafika nusu ya safari yake ya wiki 40.Mtoto anazidi kukuwa na mama kuelemewa... Read more »

Upungufu Wa Damu Kwa Mama Mjamzito, Dalili Na Matibabu

Hili ni  ️tatizo la kawaida kwa wamama wajawazito kupungukiwa damu mwilini kipindi cha ujauzito! hii inatokana na mwili kuhitaji damu nyingi kwa ajili ya ukuaji  wa  ️mtoto, tatizo hujitokeza  kipindi cha miezi mitatu... Read more »

Mimba Miezi Minne Inakuwaje,Mabadiliko Anayosikia Mama

  Mimba ya miezi 4(wiki 17)mtoto anakuwa na kuonekana umbo halisi la binadamu ,anakuwa na urefu wa 11cm na uzito wa 140g. Hapo mama ndio anapoanza kupata uafadhali baada ya kutema mate sana ,kutapika,uvivu au... Read more »

Vipimo Muhimu Kwa Mama Mjamzito Kwa Kipindi Chote Cha Miezi 9

Mama mjamzito anapaswa kuwa makini sana kwa kipindi chote cha miezi 9 . Kuhakikisha ana hudhuria klinik(prenatal care) bila kukosa  ili kufatilia ukuaji wa mtoto ,iwapo mama mjamzito amepata tatizo ni rahisi kusaidiwa mapema... Read more »

Mambo Muhimu Ya Kuzingatia Mama Kipindi Chote Cha Ujauzito

Kipindi cha ujauzito kuna mambo mengi yana tokea kwenye mwili wa mama na kufanya mabadiliko ya mwili Wake kwa kipindi cha miezi 9. Mara nyingi kuwa na hali tofauti kama kutapika, kichefuchefu na kujisikia mwili umechoka... Read more »

Sababu Zinazosababisha Mama Mjamzito Kuzaa Mtoto Njiti

Mama mjamzito anapozaa mtoto kabla ya wakati  wake wiki 37, huyo mtoto huitwa Njiti, hii ni kwa sababu anakuwa bado ajafikisha mda wake wa kuzaliwa na mwili wake bado haujakomaa. Watoto njiti... Read more »

Muda Upi Ni Sahihi Kwa Mama Alietoka Kujifunga Kufanya Tendo La Ndoa.

Mama alietoka kujifungua anahitaji kujipa mda ili aweze kushiriki tena tendo la ndoa. Hiii ni kwa sababu kuna uwezekano mkubwa wa kujitonesha kidonda au kufumuka kwa nyuzi kwa wale walio jifungua kwa... Read more »
Anapenda Kubebwa Mda Wote

Maandalizi Ya Mama Mjamzito Kwa Ajili Ya Mtoto

Maandalizi ya mama mjamzito kwa ajili ya mtoto ni muhimu kabla hajajifungua na baada ya kujifungua. Mama anaweza kuanza fanya shopping baada ya kufanyiwa Ultra sound kujua jinsia ya mtoto, ili kuepuka... Read more »

Maumivu Ya Mgongo Kwa Mama ️Mjamzito!

Maumivu ya mgongo kwa mama mjamzito ni tatizo la kawaida linalowasumbua wamama wengi. Hili tatizo husababishwa na mabadiliko ya hormone kwenye mwili wa mama na kuchochea kupata maumivu ya mgongo. Mtoto anavyozidi kukua na kuongezeka uzito ... Read more »