Mimba Miezi 9 Wiki 36-40

Mimba miezi 9 mama anakuwa kesha choka na kuelemewa na uzito ila safari inakaribia kufika ukingoni.Tumbo la mama lishashuka na kichwa cha mtoto kimegeuka chini tayari kutoka. Mama mjamzito anaweza kujifungua wiki... Read more »

Morning Sickness In Pregnancy

Wajawazito kupata hali ya kutojisikia vizuri kipindi cha asubuhi ni hali ya kawaida ,japo inakosesha raha kukufanya kunyong’onyea kutapika ,kupata kama homa kidogo,mate kujaa kinywaji,kichefuchefu.Hali hii inajitokeza kipindi cha miezi mitatu za... Read more »

Hospital Labour Bag -Bag La Kwenda Kujifungulia Mama

Mama mjamzito anatakiwa kuandaa bag lake atakalo kwenda nalo ¬†hospital kujifungulia pale muda unapokaribia wiki ya 36-40 .Unatakiwa kufanya maandalizi mapema sababu unaweza patwa na uchungu kabla ya siku za makadirio.Unatakiwa uplan... Read more »

Magonjwa Ya Zinaa Kwa Mama Mjamzito:Dalili Zake,Madhara Na Tiba Yake

Magonjwa ya zinaa ni magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya kujamiiyana (sexually transmitted diseases),inayosababishwa na bakteria,virus au fungus wanaopenda ishi sehemu ya maji maji au unyevu unyevu katika mwili ,kama mdomoni,kooni,sehemu za siri... Read more »

Mimba Miezi 8:Ukuaji Wa Mtoto Na Mabadiliko Ya Mwili Wa Mama

Hongera mama kwa kufikisha miezi 8 (wiki 32) umebakiza mwezi mmoja ujifungue.Mtoto ameshakuwa mkubwa na uzito umeongezeka mama na kuelemewa wakti mwingine ,mabadiliko ya mtoto ni         Uzito wa... Read more »

Mimba Miezi Saba:Mabadiliko Ya Mama Na Mtoto

Mimba miezi saba¬† (wiki 28-29) mama ameingia kwenye( third trimester ) miezi mitatu ya mwisho,safari inazidikuwa ngumu kwa kupata miwasho mingi tumboni (stretchmarks) zinajitokeza sasa kwa wingi na kuwasha sana ,epuka kujikuna... Read more »

Zawadi Zipi Anastahili Pongezwa Mama Alietoka Kujifungua Au Kupewa Kwenye Sherehe Ya Baby Shower

Inakuwa jambo la furaha sana pale mama anapofanikiwa kujifungua salama baada ya kubeba mimba kwa miezi tisa. Na kwa ndugu ,rafiki ama jirani huwa wanapata shida sana kufikiria zawadi gani tupeleke wakati... Read more »

Sababu Zinazo Pelekea Mimba Kuharibika(Miscarriage)

Miscarriage ni hali ya mama kupoteza ujauzito wake (kutoka) kabla ya wiki 20 kitaalamu wanaita spontaneous abortion,katika wanawake 10 wajawazito 1-2 kati yao wanaweza kupoteza ujauzito wao hiyo ni tafiti nyingi zinavyoonyesha.... Read more »

Mimba Miezi Sita :Ukuaji Wake,Mabadiliko Ya Mama Na Mtoto

Wiki ya 24 (miezi 6) ni second trimester tumbo la mama lishajitokeza kuwa kubwa kiasi cha kuonekana ,mtoto nae anazidi kukuwa amebakiza miezi 3 kuja duniani ,ameongezeka uzito na kuwa na 660g... Read more »

Folic Acid :Faida Zake Kwa Mama Mjamzito Na Mtoto

Folic acid ni mkusanyiko wa vitamins(B12,B9,C,folate n.k)unaotoka kwenye matunda na vyakula unaotengenezwa mfumo wa supplement(vidonge) vinavyosaidia mwili kuzalisha damu ya kutosha na kumpa kinga mama mjamzito ili aweze kuzaa mtoto asie na... Read more »