Ratiba Ya Chakula Cha Watoto Mwaka 1-18

  Mtoto anahitaji kuwa na ratiba ya mlo wake wa wiki nzima itamsaidia kula lishe sahihi yenye mkusanyiko wa virutubisho vingi kwa pamoja.Kumbuka kwa mtoto wa kuanzia miaka 2-3  anaweza ongea jaribu... Read more »

Butterbut Squash;Lishe Ya Watoto Kuanzia Miezi 6 Na Kuendelea

Butternut squash ni jamii ya maboga ila hili linavirutubisho zaidi na ndio mana madaktari wengi wa watoto wanashauri mtoto apewe butternut squash akifika miezi sita muda sahihi wa mtoto kuanza kujifunza kula.... Read more »

Karanga Ni Sumu Kwa Mtoto:Kuchanganya Karanga Kwenye Nafaka(Unga Wa Lishe) Ni Sumu Hatari

Matumizi ya karanga kwa uji wa mtoto ni vizuri sababu inamwongezea virutubisho ,mafuta na kumsaidia kulainisha choo ila karanga haitakiwi kukaa kwa mda mrefu baada ya kusagwa. Karanga inatabia ya kutengeneza fangasi... Read more »

Juice Ya Karoti Na Machungwa Kwa Watoto Kuanzia Miezi 7

Juice ni muhimu kwa watoto zinawapa vitamins mwilini, nivizuri ukampa zile fresh ambazo unatengeneza mwenye nyumbani bila kuwekwa chemicals,juice za madukani anaweza kunywa ila isiwe mara kwa mara.     Mahitaji Karoti 2-3 Machungwa... Read more »

Namna Ya Kuhifadhi Maziwa Ya Mama Baada Ya Kupump

Wazazi wanaporudi kazi  baada ya kujifungua,wanajikuta wanaacha kunyonyesha watoto ,kwasababu ya kutokujua kama wanaweza kupump(kukamua)maziwa na kuhifadhi vizuri ,kumwachia mlezi na akampa mtoto  pindi mama yupo kazini. Maziwa unaweza kumpump kwa machine au mkono,mama anaepump maziwa anatakiwa kunawa... Read more »

Smoothie Ya Ndizi Na Maziwa Kwa Afya Bora Ya Mtoto

Smoothie ya ndizi na maziwa inavirubisho vingi vizuri mwilini kama protein, fiber, vitamini, madini ya chuma,nk. Huongeza uzito  inakupa nguvu na kulainisha ngozi ya mwili, kujenga mifupa iwe imara na faida nyinginezo nyingi. Mahitaji Ndizi... Read more »

Uji Wa Mchele Kwa Watoto Kuanzia Miezi Sita

Uji ni lishe nzuri kwa watoto waliofikisha miezi sita na kuendelea! Mzazi unatakiwa umpikie uji wa aina tofauti ili asikinai mapema, sababu utakapo mpa uji wa aina moja lazima atauchoka na kuukataa!... Read more »

Chakula Cha Mtoto Kuanzia Miezi Sita

️️ Watoto wanapofikisha ️miezi sita ndipo wanapoanza kula chakula kigumu. Leo tutamwandalia mtoto chakula chepesi na kinasaidia kupata choo kwa urahisi! Mchanganyiko wa boga,viazi na karoti baada ya kukatakata Muda wa kupika... Read more »