
Dalili za ugonjwa huu huwa tofauti kulingana na hatua ambayo ugonjwa umeshafikia. U. T. I ni neno linalotamkwa kwa kifupi lakini kirefu chake ni, “Urinary Tract Infection” likimaanisha, “Maambukizi katika njia ya... Read more »

Afya ni uhai utakapo jali afya yako basi unaongeza siku za uhaiwako hapa duniani.Lishe ni muhimu kuzingatiwa na kufata miiko yake ili uwe na afya bora ,kawaida baada ya mlo tumbo linakuwa... Read more »

Mfumo wa maisha wa mwanadamu unatakiwa kuwa bora ili awe na afya bora,afya nzuri hailetwi kwa lishe tu ,inachangia na lifestyle yako. Lazima uwe na mpangilio ulio mzuri kuanzia unapoinza siku asubauhi... Read more »

Weusi chini ya kwapa sio ugonjwa ni mabadiliko ya ngozi unapata watu wengi na kuwafanya wasiwe comfort kuvaa nguo za wazi mbele za watu ,Kupatwa kwa weusi makwapani una sababishwa na kunyoa... Read more »

Matumizi ya chupa za chuchu za mpira (bottle feeding) kwa matumizi ya watoto ni nzuri zinarahisisha mtoto kunywa kwa urahisi ila ni hatari kwa afya ya mtoto,iwapo mzazi hatozingatia usafi basi mtoto... Read more »

Micro Waves ni mchombo cha umeme chenye( frequence radio Waves )kinachotumika kupashia vyakula. Chombo hiki kinaweza leta madhara iwapo inatumiwa kinyume kama cancer au kuadhiri organs za mwili n.k Unapotaka pasha chakula tumia chombo cha... Read more »

Mazoezi ni muhimu kwa afya ni vizuri mama akafanya baada ya kujifungua itamsaidia mwili wake kurudi na kuwa na nguvu kwa haraka,kupunguza uzito wa uzazi.Ila mama anatakiwa kuzingiatia hali ya afya yake ,asifanye... Read more »

Tango ni tunda moja wapo yenye maji mengi kama vile tikiti maji ,linabeba virutubisho vingi vitamin K,B,C,potasium,manganese . Tango lina polyphenols ambayo inasaidia kukuepusha kupata maradhi sugu.Ni vizuri mkatumia matanga mara kwa mara... Read more »

Tafiti nyingi zimeonyesha olive oil (zaituni) inafaida nyingi sana Kwenye mwili wa binadamu. Badala ya Kutumia Mafuta mengine ya kula, tumia olive oil kwa afya yako na familia yako. Yana Cholesterol ndogo... Read more »

Kiafya binadamu utunatakiwa kunywa glasi 7-8 kwa siku ni muhimu kwa afya zetu. Watu wengi hawajui kama kunywa maji asubuhi pale uamkapo ni kinga moja kubwa mwilini. Tiba hii huu unaitwa Ayurvedic... Read more »