Siri Ya Kumfanya Mtoto Alale Vizuri

Mtoto akilala vizuri ndio anakua na afya njema. wakati watoto wana style tofauti za kulala na mahitaji tofauti basi kuna baadhi ya vitu ambavyo ntakuelekeza unaweza kujifunza na kuvifanyia kazi, Chagua Mda... Read more »

Mama Baada Ya Kujifungua

Baada ya mama kujifungua mtoto kuna mambo mengi yanakuwa yanabadilika kwenye maisha yake ukilinganisha na zamani. Mfumo wa maisha yako unabadilika kwa kiasi kikubwa mfano muda wa kulala na kuamka, ulaji wako... Read more »

Umri Wa Mtoto Kutembea

Watoto wengi kwa hali ya kawaida akishafikisha umri wa miezi 9 mpaka 12 huwa ndio wanaanza kutembea na akishafikisha umri wa mwaka mmoja na miezi miwili au miezi mitatu kwa kawaida anatakiwa... Read more »

Maziwa Ya Ng’ombe Kwa Mtoto

Wakina mama wengi huwa wanaanza kwanza kumnyonyesha mtoto kitu ambacho ni sahihi kabisa maana unashauriwa miezi sita ya mwanzo ni lazima kumnyonyesha mtoto wako. Sasa kwa upande wa maziwa ya ng’ombe hasa... Read more »
MTOTO Hataki kulala

Mtoto Hataki Kulala

Tatizo la mtoto kuamka usiku ¬†wa manane na kukataa kurudi kulala huwa ni jambo la kawaida na hapa ndio wazazi wengi huwa wanapata stresss sana kwenye hili swala. Yaani unakuta mtoto akiamka... Read more »
umri wa mtoto kutambaa

Umri Wa Mtoto Kutambaa

Kutambaa huwa ni njia ya kwanza kwa mtoto kuzunguka na kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine. kwa kawaida ataanza kujifunza kubalance mikono yake na magoti, baada ya hapo ataanza kujua jinsi ya... Read more »
Tabiw za mtoto

Tabia ya kawaida kwa mtoto ni tabia gani?

Tabia ya mtoto ya kawaida inategemea na umri wa mtoto mwenyewe, maumbile yake na hisia zake jinsi zinavyokua. Tabia ya mtoto inaweza kuwa ni tatizo kama haitaendana na matarajio¬† ya wazazi wake,... Read more »
kulea mtoto ukiwa single parent

Jinsi ya kulea mtoto ukiwa Peke Yako (Single Parent)

Kabla ya kuwa na mtoto watu wengi huwa na picha ya kuwa na familia ni ya wazazi wawili. Ila katika hali ya kiuhalisia mambo huwa ni tofauti na unakuta mtu anabakia kuwa... Read more »

Madhara Ya Kuwachapa Watoto

Katika familia zetu tunazoishi tangu zamani tumekua tukitumia adhabu ya kuchapa watoto kama njia ya kuwakanya na kuwafundisha njia bora na tabia nzuri. Yaani imekua ni kawaida kabisa kumchapa mtoto kila akifanya... Read more »
Kulea mtoto wa kidigital

Jinsi Ya Kulea Watoto wa Ki- Digital

Kama ulikua huna habari basi naomba nikwambie kuwa kuna watoto wa kidigital. Yaani hawa watoto wana mambo, kwanza wanataka kujua kila kitu kabla ya umri wao, wanauliza maswali ambayo yaani unabaki kujiuliza... Read more »