Chango Kwa Watoto Wachanga (Colic)

Watoto wachanga wanasumbuliwa na chango(colic) wanapokuwa na umri wa wiki 2 baada ya kuzaliwa ndipo wanapata chango. Chango ni maamivu makali ya tumbo anayopata mtoto na kulia mara kwa mara ikiwa usiku... Read more »

Kunywa Maji Kabla Ya Kifungua Kinywa Asubuhi -Yanatibu Maradhi Mengi.

Kiafya binadamu utunatakiwa kunywa glasi 7-8 kwa siku ni muhimu kwa afya zetu. Watu wengi hawajui kama kunywa maji asubuhi pale uamkapo ni kinga moja kubwa mwilini. Tiba hii huu unaitwa Ayurvedic... Read more »

Muda Upi Ni Sahihi Kwa Mama Alietoka Kujifunga Kufanya Tendo La Ndoa.

Mama alietoka kujifungua anahitaji kujipa mda ili aweze kushiriki tena tendo la ndoa. Hiii ni kwa sababu kuna uwezekano mkubwa wa kujitonesha kidonda au kufumuka kwa nyuzi kwa wale walio jifungua kwa... Read more »
Anapenda Kubebwa Mda Wote

Maandalizi Ya Mama Mjamzito Kwa Ajili Ya Mtoto

Maandalizi ya mama mjamzito kwa ajili ya mtoto ni muhimu kabla hajajifungua na baada ya kujifungua. Mama anaweza kuanza fanya shopping baada ya kufanyiwa Ultra sound kujua jinsia ya mtoto, ili kuepuka... Read more »

Minyoo Kwa Watoto

Tatizo la minyoo huwapata watoto na watu wazima.Kwa watoto chini ya miaka 5 wanasumbuliwa sana na minyoo,  hatari kubwa ya kupata minyoo kwa watoto walio chini ya mwaka mmoja ni  pale wanapoanza... Read more »

Maumivu Ya Mgongo Kwa Mama ️Mjamzito!

Maumivu ya mgongo kwa mama mjamzito ni tatizo la kawaida linalowasumbua wamama wengi. Hili tatizo husababishwa na mabadiliko ya hormone kwenye mwili wa mama na kuchochea kupata maumivu ya mgongo. Mtoto anavyozidi kukua na kuongezeka uzito ... Read more »

Chanjo Kwa Watoto

Chanjo zinasaidia kumtengenezea mtoto kinga mwilini kupingana na maradhi. Chanjo hizo zinaendana na umri baada ya mtoto kuzaliwa afikishapo ️Miezi 2,️ Miezi 4,️ Miezi 6, ️Miezi 12,️ Miezi 18 . Atakapofika miaka... Read more »

Chakula Cha Mtoto Kuanzia Miezi Sita

️️ Watoto wanapofikisha ️miezi sita ndipo wanapoanza kula chakula kigumu. Leo tutamwandalia mtoto chakula chepesi na kinasaidia kupata choo kwa urahisi! Mchanganyiko wa boga,viazi na karoti baada ya kukatakata Muda wa kupika... Read more »