Faida Za Kula Matango (Cucucmbers)Kutibu Maradhi Na Kutumika Kwa Urembo

Tango ni tunda moja wapo yenye maji mengi kama vile tikiti maji ,linabeba virutubisho vingi vitamin K,B,C,potasium,manganese . Tango lina polyphenols ambayo inasaidia kukuepusha kupata maradhi sugu.Ni vizuri mkatumia matanga mara kwa mara... Read more »

Vipimo Muhimu Kwa Mama Mjamzito Kwa Kipindi Chote Cha Miezi 9

Mama mjamzito anapaswa kuwa makini sana kwa kipindi chote cha miezi 9 . Kuhakikisha ana hudhuria klinik(prenatal care) bila kukosa  ili kufatilia ukuaji wa mtoto ,iwapo mama mjamzito amepata tatizo ni rahisi kusaidiwa mapema... Read more »

Umri Wa Mtoto Kutambaa

Watoto wanaanza kutambaa wakiwa na miezi 6-10 na kutembea wakiwa na miezi 8 -18, watoto huwa wanatofautiana kwenye stage za ukuaji wengine wanawahi wengine wanachelewa. Wazazi wengi wanakuwa wanasubiri kwa shauku  kubwa  Kuona watoto wanapoanza kutambaa bila  kujua  hatari zake... Read more »

Ugonjwa Wa Sikio Unasababishwa Na Nini Na Tiba Yake Ni ipi?

 Infection ya masikio ni tatizo kubwa kwa watoto, sikio limejigawa sehemu kuu 3 ya ndani , nje na kati.  Matatizo mara nyingi yana shambulia sehemu ya kati (Otitis media) inashambulia watoto wachanga na... Read more »

Smoothie Ya Ndizi Na Maziwa Kwa Afya Bora Ya Mtoto

Smoothie ya ndizi na maziwa inavirubisho vingi vizuri mwilini kama protein, fiber, vitamini, madini ya chuma,nk. Huongeza uzito  inakupa nguvu na kulainisha ngozi ya mwili, kujenga mifupa iwe imara na faida nyinginezo nyingi. Mahitaji Ndizi... Read more »

Mambo Muhimu Ya Kuzingatia Mama Kipindi Chote Cha Ujauzito

Kipindi cha ujauzito kuna mambo mengi yana tokea kwenye mwili wa mama na kufanya mabadiliko ya mwili Wake kwa kipindi cha miezi 9. Mara nyingi kuwa na hali tofauti kama kutapika, kichefuchefu na kujisikia mwili umechoka... Read more »

Sababu Zinazosababisha Mama Mjamzito Kuzaa Mtoto Njiti

Mama mjamzito anapozaa mtoto kabla ya wakati  wake wiki 37, huyo mtoto huitwa Njiti, hii ni kwa sababu anakuwa bado ajafikisha mda wake wa kuzaliwa na mwili wake bado haujakomaa. Watoto njiti... Read more »
bowl being poured with yellow liquid

Faida Za Mafuta Ya Mzaituni (Olive Oil)

 Tafiti nyingi zimeonyesha olive oil (zaituni) inafaida nyingi sana Kwenye mwili wa binadamu. Badala  ya Kutumia Mafuta mengine ya  kula, tumia olive oil kwa afya yako na familia yako. Yana Cholesterol  ndogo... Read more »
cute african american child drinking milk from bottle on bed

Sababu Zinazo Mfanya Mtoto Akatae Kunyonya

Maziwa ya mama ni muhimu sana kwa mtoto, yanampa lishe na afya nzuri Maziwa ya mama  yana virutubisho, calories na vimiminika vya kutosha. Faida Ya Maziwa Ya Mama Huwongezea uzito kwa haraka.... Read more »

Uji Wa Mchele Kwa Watoto Kuanzia Miezi Sita

Uji ni lishe nzuri kwa watoto waliofikisha miezi sita na kuendelea! Mzazi unatakiwa umpikie uji wa aina tofauti ili asikinai mapema, sababu utakapo mpa uji wa aina moja lazima atauchoka na kuukataa!... Read more »