Sababu Zinazowapelekea Watoto Wanalia? Mzazi Unahitaji Kujua Haya

 Watoto wachanga ni kawaida kulia mara kwa mara ila mzazi lazima ujiulize kwa nini mtoto analia? Lazima kutakuwa kunasababu ya kulia kama zifuatavyo

 • Ananjaa

 • Diaper au nepi imejaa.

 • Anausingizi.

 • Anasikia joto Kali au baridi

 • Anataka abebwe(cuddle)

 • Tumbo la chango linamuuma(colic)

 • Kuota kwa meno anasikia maumivu kwenye ufizi!

 • Maumivu sehemu za mwili wake (sikio,tumbo)n.k

 • Label ya  nguo shingoni inamkera(hii unakuta mtoto analia anaang’aika kujigeuza shingoni au kujikuna shingoni  )unaweza ikata na mkasi

 •  Mtoto kachoka kukaa sehemu moja(mbebe mtoke nje mtembee)

 • Anataka pata haja kubwa ila haitaki kutoka.

 • Makelele mengi ya watu ,radio au tv  yanampa stress

Please follow and like us:
error0

About afyaborakwamtoto

Hii ni Blog maalumu inayotoa elimu juu ya mambo ya uzazi na malezi bora kwa mtoto.

View all posts by afyaborakwamtoto →