Huduma Ya Kwanza Nyumbani:List Ya Vifaa Vya Huduma Ya Kwanza Nyumbani

Huduma ya kwanza(first aid) ni muhimu ikiwa nyumbani au kazini inaokoa maisha ya mtu kwa urahisi ,je wewe nyumbani kwako umeweka nini kuokoa watoto na wana familia wengine iwapo ikatoakea dharura !

 

image

Dharura zipo za aina tofauti kuna kuumwa gafla (homa,maumivu),kujikata,kuungua, n.k kinachotakiwa kuwa na dawa na vifaa vya kufunga kuzuia damu isivuje zaidi ,na wenye watoto ni muhimu zaidi kuwa navyo.

 

List ya dawa /vifaa vya huduma ya kwanza nyumbani(home first aid kit)

  • Panadol ya mtoto / mkubwa

  • Bandage

  • plasta

  • Spirit

  • pamba

  • Mkasi wa kukatia vifaa vyako

  • Thermometer -kupima joto la mwili la mtoto au mtu mzima

  • Asali -akiungua unampaka au kifua cha gafla utamlambisha n.k

  • Dawa ya kifua-ila utamark na peni siku ulioanza itumia ili usitume kwa mda mrefu itakuja kuwa sumu mwilini.

Please follow and like us:
error0

About afyaborakwamtoto

Hii ni Blog maalumu inayotoa elimu juu ya mambo ya uzazi na malezi bora kwa mtoto.

View all posts by afyaborakwamtoto →