Chanjo Kwa Watoto .

Chanjo zinasaidia kumtengenezea mtoto kinga mwilini kupingana na maradhi.Chanjo hizo zinaendana na umri baada ya mtoto kuzaliwa afikishapo ️Miezi 2,️ Miezi 4,️ Miezi 6, ️Miezi 12,️ Miezi 18 . Atakapofika miaka 4-6 atachomwa tena.

image

️Kuna hatari kubwa mtoto alie chini ya miaka 5 ️️kukosa chanjo na wengiwao hufariki kwa haraka sababu YA kupata maradhi na miili yao haina kinga dhidi ya maradhi. Mzazi inakubidi uhakikishe mtoto amepata chanjo tangu akiwa na miezi 2 mpaka miaka 5! Ulizia vituo vya afya utapewa maelezo zaidi ni mda gani wanatoa chanjo kwa watoto.

image

Jamii yetu ya Tanzania inabidi tuache imani potofu juu ya kukwepa chanjo na kuhofia zinasumu,unaweka maisha ya mtoto hatarini iwapo umetokea ugonjwa wa mlipuko kupona Yake ni ngumu sana ️Au akapata maradhi tu yoyote uhai wake upo mashakani.

AINA ZA CHANJO.

-Hepatitis B
-Robela
-Tetenus
-Surua
-Polio

Please follow and like us:
error0

About afyaborakwamtoto

Hii ni Blog maalumu inayotoa elimu juu ya mambo ya uzazi na malezi bora kwa mtoto.

View all posts by afyaborakwamtoto →